binamu yangu samahani, niambie tu huyu ni nani anashughulika na nini katika kuchangia GDP ya tz....!hahaaaaaaa
Happy Birthday Muke ya muzungu
binamu yangu samahani, niambie tu huyu ni nani anashughulika na nini katika kuchangia GDP ya tz....!
jitahidi kwa ufupi, nitaelewa maana mimi mwalimu pia....sijui hata nianze wapi kutoa maelezo binamu,nahisi ka hutonielewa vile
binamu yangu samahani, niambie tu huyu ni nani anashughulika na nini katika kuchangia GDP ya tz....!
Hivi warumi ni me au ke?
who is this mange?
ingia hapa utamuona, maana kwa maelezo sijui hata unamuelezeaje
MY BIRTHDAY DINNER @ THE FOUR SEASON'S BEVERLY HILLS......
me nilifikiri mjumbe wa bunge la katiba bwana. basi sawa
hahaaa anagombea ubunge 2015
Ni mwanamke wa kawaida, sio mcheza filamu, mwanamuziki wala mwanamitindo, ni blogger tu ambaye alipata umaarufu badala ya kuanzisha mabifu na ma super star kama sintah,ray na kifo cha kanumba, shigongo na baadhi ya mastaa, alitumia blog yake kutukanana na mastaa wa fani mbalimbali apa bongo hatimaye na yeye akang'aa