Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Nipo tayari kukupa support
Kweli Mchungaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayari kukupa support
ha! ha! naona mchungaji unaingia kwenye siasa sasa but sio mbaya tumpe sampoti dada yetu!
Ulipotelea wapi ba mdogo aiseeh
Kweli Mchungaji
Kabisa kabisa tunapenda TZ nayo ipate iron lady
wapo wengi lusungo hata dada yangu lala 1 alisema atagombea next year so wanawake wanaweza sidhani kama kuna ulazima wa kuwezeshwa!
Ni ngumu bila kuwezeshwa
umesomeka mkuu but make sure una mpa support dada yetu!
safari hii kila mtu atakuwa mbunge hakyanani.
hadi yule anaeongeaga sauti za kitandani akiwa redioni nae eti anataka ubunge.
Sintah is a movie star nafikiriHivi Sintah ni supa staa??:help:
Sintah is a movie star nafikiri
Kwa mfano ni star wa movie ipi?