Ya kwako ni lini ili nikuandalie vinono[emoji6]Hongera Bwana @PRONDO na Bi. Khantwe kwa kuipunguza ile miaka dhiki na uchungu hapa duniani na kuikaribia ile ahadi ya maisha ya milele yenye raha isiyo na mfanowe.
Mungu awape ufahamu na maarifa ya kumjua yeye siku zote za maisha yenu hapa duniani.
Hebu nionjeshe kwanza hivyo vinono ulivyowaandalia hao mapacha kwanza[emoji39]Ya kwako ni lini ili nikuandalie vinono[emoji6]
Hujaacha tu tabia yako ya kuonjaonja vya watu? [emoji23]Hebu nionjeshe kwanza hivyo vinono ulivyowaandalia hao mapacha kwanza[emoji39]
Ya kwangu subiri kwanza nivute ugoro kumbukumbu zikija ntakwambia kule sirini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujaacha tu tabia yako ya kuonjaonja vya watu? [emoji23]
Nakuja unitajie ili nisijepitwa nikashindwa kukuandalia vinono vya kwetu 'kichuri na ugali wa mtama'
😂 Hujaacha tu vituko vyako. Usije nalo, utawatisha wachanga wetu na hlo panga lako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu maliza kwanza shughuli ya hawa mapacha yetu tutang'atana masikio badae.
Tafadhali msinisahau kwenye kukata keki, nina panga langu lina uwezo wa kukata vipande 100 kwa mara moja.
Thanks brother.
Thanks my crush.Wishing you two, a wonderful birthday and many happy returns
Younger than yesterday older than tomorrow.... Happy day to you allCount your life by smiles, not tears. Count your age by friends, not years. Happy birthday!View attachment 947417
Thanks my DREAM WOMAN.Count your life by smiles, not tears. Count your age by friends, not years. Happy birthday!View attachment 947417