Happy birthday mapacha wa JF RRONDO, Khantwe & MO11

Happy birthday mapacha wa JF RRONDO, Khantwe & MO11

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
13,380
Reaction score
31,566
Count your life by smiles, not tears. Count your age by friends, not years. Happy birthday!
IMG_20181125_013257_708.jpeg
 
Hongera Bwana @PRONDO na Bi. Khantwe kwa kuipunguza ile miaka dhiki na uchungu hapa duniani na kuikaribia ile ahadi ya maisha ya milele yenye raha isiyo na mfanowe.
Mungu awape ufahamu na maarifa ya kumjua yeye siku zote za maisha yenu hapa duniani.
Ya kwako ni lini ili nikuandalie vinono[emoji6]
 
Hebu nionjeshe kwanza hivyo vinono ulivyowaandalia hao mapacha kwanza[emoji39]
Ya kwangu subiri kwanza nivute ugoro kumbukumbu zikija ntakwambia kule sirini.
Hujaacha tu tabia yako ya kuonjaonja vya watu? [emoji23]
Nakuja unitajie ili nisijepitwa nikashindwa kukuandalia vinono vya kwetu 'kichuri na ugali wa mtama'
 
Hujaacha tu tabia yako ya kuonjaonja vya watu? [emoji23]
Nakuja unitajie ili nisijepitwa nikashindwa kukuandalia vinono vya kwetu 'kichuri na ugali wa mtama'
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu maliza kwanza shughuli ya hawa mapacha yetu tutang'atana masikio badae.

Tafadhali msinisahau kwenye kukata keki, nina panga langu lina uwezo wa kukata vipande 100 kwa mara moja.
 
😂 Hujaacha tu vituko vyako. Usije nalo, utawatisha wachanga wetu na hlo panga lako
 
Back
Top Bottom