Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji8][emoji8][emoji8]Save the date mamii, [emoji7][emoji7][emoji7] soon tunacheza kwaito bebi[emoji126][emoji1739]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8][emoji8][emoji8]Save the date mamii, [emoji7][emoji7][emoji7] soon tunacheza kwaito bebi[emoji126][emoji1739]
Sharti moja, usipendeze zaidi ya bi harusi vinginevyo utarudishwa mlangoniNasubiri kadi ya mwaliko..
Mate leo sisi tumekuwa wakuu kweli?Mungu awape maisha marefu yenye fanaka wakuu.
Haha..Ahsante mpenzi [emoji8][emoji8] nimependa hapo kwenye more money
Nimesema kadi ya mwaliko..michango mpambane nayo wenyewe..Mie tena, wala usihofu...Tunaanza na mchango lakini, single 50,000! Couple laki moja.
Fanya mzuka kisha uje Haikalawere kucheza kwaito, kula na kusaza [emoji1][emoji1][emoji1]
Mate nirudishwe tu mlangoni..kutokupendeza ni ngumu Sana...am soreeeSharti moja, usipendeze zaidi ya bi harusi vinginevyo utarudishwa mlangoni
Mnama wacha ujasiriamali wa jina[emoji23][emoji23]Mwambie anitumie buku 5 ya bando kwanza.
Nimesema kadi ya mwaliko..michango mpambane nayo wenyewe..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahaha nimecheka peke angu uku ujue.Mate leo sisi tumekuwa wakuu kweli?
HahahaMualiko unafatana na mchango sasa ndio shida
Hahaha, mimi sintokua wakwanza, Yesu mwenyewe walimfanyia ujasiriamali.Mnama wacha ujasiriamali wa jina[emoji23][emoji23]
Happy Birthday my wifeMate leo sisi tumekuwa wakuu kweli?
Happy birthday. Keki tunakula wapi?😂Duh mwaka mwingine ushakatika? Hbd to us