Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen mkuu..barikiwa
Jina lako bhana
Haya bhana....
Jina lake limefanyaje?[emoji23][emoji23]
Naomba uniambie maana ya hili jina Nleterewa Nganengo[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Asante mamiiHappy Birthday to you Beautiful gal Khantwe and Handsome boy Rrondo, Mungu na azidi kuwajalia kila lililojema maishani.
Vipi tena mkuu, halieleweki nini?Jina lako bhana
Haya bhana....
Yeyote kati yetu anaweza kuwa yeyoteHivi kati yenu nani Kulwa, Kati na Doto?[emoji848]
Subiri nigoogle nakuja.Naomba uniambie maana ya hili jina Nleterewa Nganengo
Wala usiumize kichwa we mchagulie mwenye hela nyingi na mhongaji tukuka[emoji40]Yupi sasa usiniambie unashindwa uchague yupi
Nikikuambia utakubali?Naomba uniambie maana ya hili jina Nleterewa Nganengo
Linaeleweka sana sema huyu mkuu thad anataka kujua maana yakeVipi tena mkuu, halieleweki nini?
Mwambie bhanaSubiri nigoogle nakuja.
Sema walah[emoji87]Nitakubali wewe niambie
[emoji2] [emoji2]Mbona wataka kunipeperushia ndege wangu?[emoji3525]
Mwambie anitumie buku 5 ya bando kwanza.Linaeleweka sana sema huyu mkuu thad anataka kujua maana yake
Mtag hapo atakuelewa[emoji23][emoji23]Mwambie anitumie buku 5 ya bando kwanza.