RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sasa si uniombe hata kwenye bd yako?! Tangu lini mtoto akapigwa mzinga?Yaani kukuomba ka wine tu, unaona nakupiga mzinga je, nikikuomba uninunulie kiwanja?[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si uniombe hata kwenye bd yako?! Tangu lini mtoto akapigwa mzinga?Yaani kukuomba ka wine tu, unaona nakupiga mzinga je, nikikuomba uninunulie kiwanja?[emoji848]
duh umeshindikanaNa mimi ya kwangu ni leo, kwa hiyo wote tu watoto. Haya naomba sasa[emoji6]
Ee nataka attention nipewe mimi tu sasa akitokea wa kugawana nae attention yenu I don't feel good at allHizi ndio juhudi zako ili ubaki peke yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee....hata bd yangu unanipiga mzinga?!!
Yaani kukuomba ka wine tu, unaona nakupiga mzinga je, nikikuomba uninunulie kiwanja?[emoji848]
Aisee, una roho nzuri sana (opoziti yake)[emoji57][emoji57][emoji57] Umefurahi nini sasa?
Sasa nimeelewa kwanini kila nikiwakaribia nduguzo wanifukuzia mbali
Asante. Anakijua wapi amekopi na kupesti ili atuimpress
Sema kweli au ni nanihii wakoMwulize Nleterewa Nganengo ananifahamu nje ndani[emoji6]
[emoji87][emoji87]yamekuwa hayo tenaMimi nakufahamu nje tu, huko ndani mwambie mwenyewe.