Happy Birthday Maserati

Mimi kwa muamala mbona utanikimbia mwenyewe.
Nipe tigo yako tu Niijaze. Au unatumia mpesa kama mimi?
natumia mpesa na nimeshasema hivyo, kwani wewe huwa unapendaje tigo pesa wakati unatumia mpesa?

jst to know
 
haaa kumbe unapokea asante kwa niaba ya shemela, angalia usije zima taa mkuu
lol
Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezi kuwa. Huyo ana mitaala huyo
 
natumia mpesa na nimeshasema hivyo, kwani wewe huwa unapendaje tigo pesa wakati unatumia mpesa?

jst to know
Nikikutumia kwenye tigop kutoka kweny M pesa yangu. Wewe wakati wa kutoa pesa hukatwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…