Happy Birthday Maserati

Happy Birthday Maserati

labda sijajua hebu tutulie ajibu mwenyewe.

teh teh
Jj hilo swali la Inna
Amekuja na keki ?
Kwa sababu jukumu la kuleta keki ni lake.
Afu Inna humjui jje's Ni binamu yangu kwa hio wewe kuwa na amani ukiniona naye ujue ni mambo ya kifamilia tunajadili(extended famili)
 
Jj hilo swali lan@inna.
Amekuja na keki ?
Kwa sababu jukumu la kuleta keki ni lake.
Afu Inna humjui jj'e? Ni binamu yangu kwa hio wewe kuwa na amani ukiniona naye ujue ni mambo ya kifamilia tunajadili(extended famili)
Nimecheka sana jamani Saint, sio kwa uongo huo jaman

nionee huruma niko ofcn ati? ila sio kwa magu
 
Nimecheka sana jamani Saint, sio kwa uongo huo jaman

nionee huruma niko ofcn ati? ila sio kwa magu
KaZi na dawa sio kitu kibaya.
Ukuwe una refresh mind kidogo.

Kazi zenyewe haZinaga shukrani. Ila ufanisi najua upo. Sina wasi was na hilo.
 
Illa Inna una wivu kama mimi. Japo hunifikii. Mimi wivu wangu ni ule wa kujinyonga.
Hapa nataka nimuambie kabisa huyu binamu yangu jje's ajue ili asije akaacha kunipa attention binamu yake.
 
hahahahahahha oooops sawa bhana tuchanganye tu
Hapana.
Sitaki kukuchanganya na mtu.
Mimi nakupa tu my very close attention yangu. Im sure you wilk feel it. Its not bad to get my attntion.

Wewe kama msichana you deserve it as ana appreciation ya uzuri wako and the way you work hard to keep your holy beuty constant.
Wengine wanashindwa kujimaintain. Wanadanganywa. Wanaumizwa. Etc.
My attention is different from others.
Mine doesnt hurt,doesnt bother you.
Rather will keep you smile all the day long. And become among ov the happiest wonderfully happy woman on our planet.
Do I need kuendelea kukupa mashairi??
 
Kwema Morani.
Aisee tunataka masiwa vibuyu fiwili.
Huyu murembo lasima anywe masiwa na keki leo.
Kwema lepapalai.

Masiwa ni ngumu sana kupatika kipindi hii ya kyangasi. Ng'ombe imeenda ronjo, ila kwa kuwa ni musichana musuri sana, nitafatilia nikuletee Leo Leo.

Takia yeye siku njema.
 
Hapana.
Sitaki kukuchanganya na mtu.
Mimi nakupa tu my very close attention yangu. Im sure you wilk feel it. Its not bad to get my attntion.

Wewe kama msichana you deserve it as ana appreciation ya uzuri wako and the way you work hard to keep your holy beuty constant.
Wengine wanashindwa kujimaintain. Wanadanganywa. Wanaumizwa. Etc.
My attention is different from others.
Mine doesnt hurt,doesnt bother you.
Rather will keep you smile all the day long. And become among ov the happiest wonderfully happy woman on our planet.
Do I need kuendelea kukupa mashairi??
hapana aiseee, asante sana,

mie Stun ananiambia tu unajua vile nakupendaga. basi nikisikia ile sauti tu lol sina ninakoenda.

teh teh

Cc. Inna STUNTER
 
hapana aiseee, asante sana,

mie Stun ananiambia tu unajua vile nakupendaga. basi nikisikia ile sauti tu lol sina ninakoenda.

teh teh

Cc. Inna STUNTER
Umeharibu. Umewaita wa nini hao?
Watasoma mistari hio wakati unatakiwa uisome wewe tu.
Basi sitakupa mistari mingine.
Ww ungenyamaza tu kimya... Au unaigopa nitaiteka nafsi yako?
 
nakupendaje lakini lol

unajua mie sipendi ugomvi na Inna cause ni rafiki yangu wa kitambo
Trust me Inna mbona hana ugomvi.
Angekuwa mgovi basi angegombana na relato. Huyu relato ni my babe kabisa na ni mdogo wake Maserati birthday gal.
Inna anajua kuwa mambo ya JF yanaishia hapa hapa jf.

Huoni kaja kaangalia kaona kuna usalama kaondoka.
Asingeondoka yule mmasai kama angeona hakuna usalama.
Afu akikuliza kama wewe ni binamu yangu mwambie ndio.

Ukisita sita tu atajua kuna kitu.
 
saint ivunga mhenga mwenzangu. Limoyo limedondokeapo kwa lli loyz roys.

Asee Mungu abariki ka musolin kako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio my babe huyu. Uyo ni she shemelaaa
Mimi ni kama le mutuz. Najipendekeza ili nipige tu selfie,
Ila my real babe my bebez ni inna na relato.
Kuna huyu mpya anaitwa jje's nitamtambulisha kwenye lebo pia soon. Ngoja kwana nifanikiwe kuingia kwenye moyo wake ili uanze kunisukuma mimi badala ya kusukuma damu
 
Trust me Inna mbona hana ugomvi.
Angekuwa mgovi basi angegombana na relato. Huyu relato ni my babe kabisa na ni mdogo wake Maserati birthday gal.
Inna anajua kuwa mambo ya JF yanaishia hapa hapa jf.

Huoni kaja kaangalia kaona kuna usalama kaondoka.
Asingeondoka yule mmasai kama angeona hakuna usalama.
Afu akikuliza kama wewe ni binamu yangu mwambie ndio.

Ukisita sita tu atajua kuna kitu.
hahahahahahah jaman Saint mbavu zangu ujue
 
Back
Top Bottom