Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahah.naona unamuiga Mahondaw
teh teh
Ataikubaliii??Hongera kwake kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa. Mtaarifu kuna zawadi yake ya shamba ekari 100 maeneo ya KIBITI.
umpe nani tena jamani? mie au maserati.Hahah.
Afu nataka nikupe mapigo ya smart.
Yaleee anayopewa mahondaw
Maserati shemela wangu bwana ujue.umpe nani tena jamani? mie au maserati.
kuwa wazi bhana nimepitiliza kituo ujue
teh teh
haaa kumbe unapokea asante kwa niaba ya shemela, angalia usije zima taa mkuuMaserati shemela wangu bwana ujue.
Hapana. Siwezi kufikia huko bwana.haaa kumbe unapokea asante kwa niaba ya shemela, angalia usije zima taa mkuu
lol
hahahaha, baada ya Inna mie ama?Hapana. Siwezi kufikia huko bwana.
Haya turudi kwenye maongezi yetu.
Ina maana bado tu sijakuingia kumoyo??
Atakubali tu mkuu, zawaidi huwa haikataliwi.Ataikubaliii??
Hapa nakubembeleza uje kula keki.hahahaha, baada ya Inna mie ama?
unajua sipendi uchokozi ujue
ohooo, ndo trick mojawapo eeeh,Hapa nakubembeleza uje kula keki.
Ila ukae hadi paty iishe nitakurudisha kwenu.
Ukishaanza tu kunipa attention hapa Jf nitajua tu kuwa tayari nimeshapisha hodi huko kwenye your heart.
Itafanya kazi?ohooo, ndo trick mojawapo eeeh,
ngoja tuone na observe tu mie
yes tena sana tuuu, endelea mkuuItafanya kazi?
Mnajadili nini?hahahaha, baada ya Inna mie ama?
unajua sipendi uchokozi ujue
Siku ukitulia ntanyanyua mikono juu.Hapana. Siwezi kufikia huko bwana.
Haya turudi kwenye maongezi yetu.
Ina maana bado tu sijakuingia kumoyo??
tumuulize aisee, sikumwelewa ndo maana nikaona nikuite kwa siri kumbe ulisikiaMnajadili nini?
Keki umakuja nayo bibie?Mnajadili nini?
Mialiko yenyewe masharti kinoma.. eti mabachela haturusiwiMialiko mcheki shemela wangu Saint Ivuga