[emoji116] [emoji116] [emoji116] ni hichi kweli jje's???tumuulize aisee, sikumwelewa ndo maana nikaona nikuite kwa siri kumbe ulisikia
Saint Ivuga naomba ujibu hili swali
teh teh
Keki umakuja nayo bibie?
labda sijajua hebu tutulie ajibu mwenyewe.[emoji116] [emoji116] [emoji116] ni hichi kweli jje's???
Nimecheka sana jamani Saint, sio kwa uongo huo jamanJj hilo swali lan@inna.
Amekuja na keki ?
Kwa sababu jukumu la kuleta keki ni lake.
Afu Inna humjui jj'e? Ni binamu yangu kwa hio wewe kuwa na amani ukiniona naye ujue ni mambo ya kifamilia tunajadili(extended famili)
KaZi na dawa sio kitu kibaya.Nimecheka sana jamani Saint, sio kwa uongo huo jaman
nionee huruma niko ofcn ati? ila sio kwa magu
yap yap uko very rightKaZi na dawa sio kitu kibaya.
Ukuwe una refresh mind kidogo.
Kazi zenyewe haZinaga shukrani. Ila ufanisi najua upo. Sina wasi was na hilo.
Hapana.hahahahahahha oooops sawa bhana tuchanganye tu
Kwema Morani.Happy Birthday Mkuu, surely have a blasted day for enjoying such a big day.
Mungu akuwezeshe katika yote.
Kwema lepapalai.Kwema Morani.
Aisee tunataka masiwa vibuyu fiwili.
Huyu murembo lasima anywe masiwa na keki leo.
hapana aiseee, asante sana,Hapana.
Sitaki kukuchanganya na mtu.
Mimi nakupa tu my very close attention yangu. Im sure you wilk feel it. Its not bad to get my attntion.
Wewe kama msichana you deserve it as ana appreciation ya uzuri wako and the way you work hard to keep your holy beuty constant.
Wengine wanashindwa kujimaintain. Wanadanganywa. Wanaumizwa. Etc.
My attention is different from others.
Mine doesnt hurt,doesnt bother you.
Rather will keep you smile all the day long. And become among ov the happiest wonderfully happy woman on our planet.
Do I need kuendelea kukupa mashairi??
Umeharibu. Umewaita wa nini hao?
nakupendaje lakini lolUmeharibu. Umewaita wa nini hao?
Watasoma mistari hio wakati unatakiwa uisome wewe tu.
Basi sitakupa mistari mingine.
Ww ungenyamaza tu kimya... Au unaigopa nitaiteka nafsi yako?
Trust me Inna mbona hana ugomvi.nakupendaje lakini lol
unajua mie sipendi ugomvi na Inna cause ni rafiki yangu wa kitambo
Sio my babe huyu. Uyo ni she shemelaaasaint ivunga mhenga mwenzangu. Limoyo limedondokeapo kwa lli loyz roys.
Asee Mungu abariki ka musolin kako
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahah jaman Saint mbavu zangu ujueTrust me Inna mbona hana ugomvi.
Angekuwa mgovi basi angegombana na relato. Huyu relato ni my babe kabisa na ni mdogo wake Maserati birthday gal.
Inna anajua kuwa mambo ya JF yanaishia hapa hapa jf.
Huoni kaja kaangalia kaona kuna usalama kaondoka.
Asingeondoka yule mmasai kama angeona hakuna usalama.
Afu akikuliza kama wewe ni binamu yangu mwambie ndio.
Ukisita sita tu atajua kuna kitu.