Happy Birthday Maserati

Happy Birthday Maserati

Hebu hyo shuhuli yenu ya
Michambo leo muisitishe
Maana tunataka kumwagia huyu


Mtt alie zaliwa leo maji ndoo 7
Na anakaz ya kutulisha cake
Leo japo mtoto n mdogo

Triple A
wewe hutakula keki.
utapewa maji ya uhai tu kwa kukuhurumia ili usimeze sana mimate, daby yeye atapata soda kwa vile ananiheshimu kidogo. leo full ubabe leo. na nankuja na bakora .. ukileta vurugu nakucharaza bakora .. na kwenye kucheza blues marufuku kuwakumbatia inna . maserati na relato .. nikikuona tu unakula bakora hapo hapo
 
Happy birthday mrembo
Hongera sana kwa kuongeza
Miaka mingne mingi
smart beautiful[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Naomba wakat wa kunipa
Kek ivuga,awe umbali wa mita
300

[Color= yellow]Triple A[/color]
Ha ha ha ha ha....asante sana.
Huyo ni honorable shemela sasa atakuwa mita 10 tu
 
Back
Top Bottom