Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, tatizo bembelezo langu limekaa kiafande - afande sana hutaliweza.Ha ha ha ha. Uninembeleze mie Leo basiiii
Usihofu mkuu, watapata escort ya kutosha kutoka kwa walinzi shirikishi.Usije ukambeba relato wangu
Thank youuuuu
Nataka hivo hivoHahaha, tatizo bembelezo langu limekaa kiafande - afande sana hutaliweza.
Ngoja niitafute ile kamusi yangu ya kiswahili sanifu, angalau nipate maneno machache ya kusindikiza bembelezo badae.Nataka hivo hivo
Naomba keki yangu....Karibu,nimekumiss kweli muhenga
[emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haiwezi kuwa. Huyo ana mitaala huyo
Sipendi kukumbushwa mambo mabaya.ila kwa kuwa ni wewe no worryHahahaa kama ilivobaki kidogo ujinyonge kwa yule mtoto uliyemsomesha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki bhana mpesa ni salama zaid na navutiwa nayoNikikutumia kwenye tigop kutoka kweny M pesa yangu. Wewe wakati wa kutoa pesa hukatwi.
Mis u much my wifi. Inaelekea umepewa wizara maalum na magu kias huonekan wifi yangu. Nipe mchongo
Sawa. Mimi mwenyewe sipendi tigo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sitaki bhana mpesa ni salama zaid na navutiwa nayo
Jesus is my saviour and a friend
Wifi Mimi sionekani jamani??Mis u much my wifi. Inaelekea umepewa wizara maalum na magu kias huonekan wifi yangu. Nipe mchongo
Jesus is my saviour and a friend
[emoji3] [emoji3] ushazisahau bapa?Lol!
Ujue wewe katuni sana. Motorola bapa