Happy birthday maty


Babu shairi tamu sana hili lol nilikua wapi mkoloni mubaya sana huyu kunibana siku muhimu kama leo
 
Pole sana Maty kwa kuongeza Umri na kupunguza miaka ya kuishi Duniani:A S 13:

Hahahaaaaaaaa kyabu napunguza miaka ya kuishi eee ngoja nikazane nimalize kabula sijafa lol
 
Jamani mkoloni kaniminya siku muhimu kama ya leo kimey katukuu ndi katakua kanasevu vinywaji nahofia finest anaweza badili badala ya yule amjuae akageuza kibao lol
Kimey anataka kujifanya ROSTI TAMU (ROSTAM)
 
Heri na Baraka katika Siku yako ya Kuzaliwa. Mungu ayaongoze maisha yako katika yale yaliyo na heri na wewe.
 
sasa naona Aspirin umekuja kwa mkwara mzito wa utenzi na vina.
du I like ur style diversity
 
Happy birthday my beloved Maty...May God pour His Blessings to you, today and forever amen!
 

Babu huvumi...kumbe umo.........:A S thumbs_up:
 
Happy belated birthday Maty. Mungu akupe maisha marefu zaidi
 
maty dearest ingawa nimechelewa lkn lazma niseme neno,,,nakuombea maisha marefu ya furaha na amani,,mungu akupe haja za moyo wako,amen
 
Hongera kwa kufikisha miaka kadhaa!! HONGERA SANA MATY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…