Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Status
Not open for further replies.
Heshima mbele wakuu,

Napenda tuungane kwa pamoja kumpongeza mkuu Maxence kwa kufikisha siku hii

na kuongeza umri mwingine katika maisha yake,tumuombee heri, afya, njema, na

maisha marefu. Mungu ampe nguvu za kusonga mbele zaidi.


Heri ya kuzaliwa mkuu Maxence...........
 
Its good that u were born on a day like this, otherwise things wouldn't be the way they are now!
Sherekea kwa amani mkuu, na endelea kuongeza Marafiki!
All the the best!
 
Happy b/day Melo...will u mind if wanna knw hw old r u??Siwezi attach ua tu...bt ningefanya hivyo sasa hivi,likufariji ingawa umepunguza mwaka mwingine wa kuishi. Mungu akujalie sana kwenye maisha yako.
 
Happy birthday mkuu....Mungu akuongezee uhai, upate kitukuu chenye umri kama wako ndo afikirie kukuhamishia mbinguni.

Naamini kwa wish hii sitatembezewa kichapo cha BAN asilani.
 
happy birthday boss,...
Ukiwa una sherekea leo sikiza wimbo wa Ray Boltz (you will always be a child in my eyes)
sio wimbo nao cheza hapa lakini
.........
 
Happy birthday Maxe....
Ni siku njema kwako na kwetu....long live!
 
Happy birthday Max, may your years ahead be filled with happiness and success.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom