Happy birthday my beautiful baby girl
Mungu akupe umri mrefu upate hekima na maarifa tele kwa kila siku iitwayo leo, tuzidi kupendana na kuthaminiana.
Zawadi yangu nitakukabidhi jumamos shogaangu.
Tumepoteana rafiki yangu sijui shida ni niniHey girl!, Nasalamia..
Tumepoteana rafiki yangu sijui shida ni nini
Sasàaaaà.....
NilikumissSijui nimechelewa!!! Mwenye enzi akujaalie kila lililo jema mama
Miss you more mamy. Nimemiss visa vya mashosti zako hope bado vinaendelea.Nilikumiss