MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Habari zenu jamani,
Leo ni siku yetu jamani, nilikutana na huyu kaka kama masihara vile akaniuliza kama hii tarehe ndo niliyozaliwa mm nikamwambia ndio kaka, duh kumbe naye alizaliwa siku kama ya leo tena naye ni twins kama mie
Namtakia kila la heri katika maisha yake, never let sorrow and dismay cloud your clarity&positivity! This is the time to share love *joy! a time to recollect beautiful memories...it is a time to sit back &RELAX!
Happybirthday to US!
Zawadi zangu PM kwa miamala tafadhali...(a joke aside)