Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakua anapiga migumi uyo mja,..!?anaweza kua bondia badae,
Msichana huyoHbd,sura naona kachukua yote kwa mshua wake.
HapanaNa yeye huwa anapita humu JF?
Kazawadia Ndinga la kifahari kama kawaida yake FloydYeye kapewa nini na mshuwa wake??