Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yani siku hizi kama kapigiwa misumali hasafiri kabisaMbona kipindi kile alisafiri mambo yakawa poa![emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani siku hizi kama kapigiwa misumali hasafiri kabisaMbona kipindi kile alisafiri mambo yakawa poa![emoji1]
Kwenye ile list ya ma-ex zangu kuna Tony wawili, ukute mmojawapo ndio huyu.Hivi hajawahi kuwa Mme wako?
Kumbe ndio baby wako? Okay mwambie akwambie me nan yakeUkumbuke tu kumrudisha Tony wangu.
Mimi hili nalijua ila imani ipo ndogoHujui mimi na wewe tumegandana? Hatuachani.
HufaiUlilianza ww baada ya kunifanyia ulichoamua
Amesema we mchepuko wake, haina shida kusaidiana mara moja moja.Kumbe ndio baby wako? Okay mwambie akwambie me nan yake
Imani juu ya nini?Mimi hili nalijua ila imani ipo ndogo
Kakudanganya bas ikiwa we ndo mshika pembe umeshindwaje kujua babiooo kazaliwa Leo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amesema we mchepuko wake, haina shida kusaidiana mara moja moja.
Sio mbaya, ndio majukumu ya michepuko, tunasaidiana kama hivi.Kakudanganya bas ikiwa we ndo mshika pembe umeshindwaje kujua babiooo kazaliwa Leo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aiseee umenikomesha leoo kwa kweliMtu wa hovyohovyo
nitumie tu zawadi party hakunaHaya Tony party wapi?
Una baby mpya umeamua kunifanyia Siri ad nimejuaaiseee umenikomesha leoo kwa kweli
nitumie tu zawadi party hakuna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa wewe ndio ue mfanoSio mbaya, ndio majukumu ya michepuko, tunasaidiana kama hivi.
Mie majukumu mengi jamani, tusaidiane tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa wewe ndio ue mfano
Aseeee wake wa type yako Shashi kuwaonaMie majukumu mengi jamani, tusaidiane tu.
juu ya huyo mwanamke aliyeniandikaImani juu ya nini?
Shashi ndio nini sasa?? Ujue mie nawaza mengi sana, michepuko haina majukumu kwahiyo hivyo ndio kazi zenu.Aseeee wake wa type yako Shashi kuwaona
Akinogewa?Shashi ndio nini sasa?? Ujue mie nawaza mengi sana, michepuko haina majukumu kwahiyo hivyo ndio kazi zenu.
Mchepuko hautakiwi kuuamini sana.juu ya huyo mwanamke aliyeniandika
Mwangalie[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]juu ya huyo mwanamke aliyeniandika
Anogewe tu ila akumbuke familia.Akinogewa?