Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upepo unapita mi na ww kama uji na mgonjwa hatuachaniSikuamini tena kama zamani [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Ndio ukaamua kunisaliti sioNi upepo unapita mi na ww kama uji na mgonjwa hatuachani
Hebu punguza ukali wa manenoNdio ukaamua kunisaliti sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhahhahahahhahahhahhaHili jina nililiona mahali
nasubiri zawadi tena umwambie na mafikizolo nataka zawadi zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhahhahahahhahahhahha
Hamna mshumaa hapa wala kekiNikiangalia avatar ya mo11 mdomo wake navuta picha muda huo wa party akipuliza mshumaa[emoji23] [emoji23]
Happy birthday jembe
dj naomba wimbo wa Kesho from DomoNapendekeza isiimbwe wimbo wa birthday 2u, ikiwezekana iimbwe nyimbo yoyote ya diamond. Mo11 atafurahi mara2
Bora keki isiwepo, navuta picha kipande cha keki kinachofit kwenye mdomo wa avatar[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna mshumaa hapa wala keki
thanks super
Mie nadhani ni huyuKwenye ile list ya ma-ex zangu kuna Tony wawili, ukute mmojawapo ndio huyu.
Mtu wa hovyo hovyo.Hili jina nililiona mahali
Aibu naona mimi haki tena
Tena wimbo wenyewe nenda kamwambieNapendekeza isiimbwe wimbo wa birthday 2u, ikiwezekana iimbwe nyimbo yoyote ya diamond. Mo11 atafurahi mara2
keki nzima nakulaBora keki isiwepo, navuta picha kipande cha keki kinachofit kwenye mdomo wa avatar[emoji23] [emoji23] [emoji23]
*waalikwa wanaweza kurudi na njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]dj naomba wimbo wa Kesho from Domo