Happy Birthday MO11

Happy Birthday MO11

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mikono juu twende, say yeee yeeee
Mikono juu twende, tunaimba sasa[emoji441]

[emoji117]Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T"shirt na Jeans ntatupa kidogo..
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo...
Naukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo...
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za Hekima Logo...
--Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
[emoji117]Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2

{Verse 2}
Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo..
Eti shoping twende Tai
wakati Dadaangu anaduka kigogo..
Ukikuta Nguna usikatae
we zuga unapenda hata kama wa Muhogo..
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama Mgogo
[emoji117]Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
atoto sikiliza hii nyimbo kwa niaba yangu kama huna nikutumie
 
Tena wimbo wenyewe nenda kamwambie
nenda kamwambie aaaah
kwa jinsi nnavyompenda mii aaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah
nasema kamwambie aaaah
kwa jinsi ninavyompenda mi aaaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah

Say yeeeeee[emoji441] yeeeeeeeee[emoji441] [emoji441]
Mikono juu twende mikono juuu[emoji23] [emoji23]
 
nenda kamwambie atoto leo tufurahi kwanza
Sio ningie mori, nyota na mbalamwezi
ah viwe mali yake yeye
natamani ila tatizo siwezi
huenda ingefanya anielewe
aaah onaae
si yeye alinifunza mapenzi
nilikua sijui kamwambie
akanidekeza kishenzi kwa nyimbo nzuri nimwimbie

so asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi ninalompenda kisa mvinyo na bia
asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
mmmh mwambie asisikie mapenzi moyo wangu unaumia
eeaaaaaah[emoji441] [emoji450][emoji450] [emoji445]
 
Mleta thread na mwenye birthday ni taam ya vijana wa Lumumba wanajuana nyuma ya ID buku 7 united.
 
Huu sitaki, nautaka wa 'ukimwona'
Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa sinabudi nielewe
siwezi kung'ang'ania maana sio fungu langu
japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe
ohh ila, mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
na asisikie asilani, mwambie mapenzi mabaya
hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)[emoji450]
 
Huu sitaki, nautaka wa 'ukimwona'
tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo
najaribu papasa, mbona kwa macho ataona chochote
ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote
kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)[emoji450]
 
Back
Top Bottom