Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!

Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!

Umenikumbusha miaka ya 80 mwishoni kwenye mechi za Mpira wa miguu, mechi inachezwa Leo, baada ya siku 4 tunaonyeshwa kupitia mikanda ya video kwa malipo!
 
computer yangu iko kama inanidanganya halafu, hv bdate ni leo au was 8/3/17? if leo happy birthday dear and it was the date i thought of, Happy bilated birthday Money Penny
 
computer yangu iko kama inanidanganya halafu, hv bdate ni leo au was 8/3/17? if leo happy birthday dear and it was the date i thought of, Happy bilated birthday Money Penny
Thank u my friend ilikuwa tar 8 march
 
Hey~Lo!

Leo miguu juu na Celebrate my BirthDay and International Women's Day! ontop of the World!!



Goooosh! Am Blessed right?! Maana sio kwa kupendelewa huku kwa kuzaliwa sikukuu ya wanawake Duniani!

Nawatakia heri ya sikukuu ya wanawake Duniani, wanawake wooote wa Jamii Forum popote walipo!

Yours:
Malkia wa Nguvu Money Penny

TUAMBIE NANI NI MALKIA WA NGUVU KTK MAISHA YAKO UNAYEMKUBALI SANA NA HATA HAPA JAMII FORUM!

Ps:
Stori itafuata kesho saa 10 jioni
Stori tamu, stori mwake, stori bambam
Ya watu tofauti tofauti hapa hapa bongo!
Ila nimeambiwa nilete ya wadada kwasababu ni mwezi wa Malkia wa Nguvu basi me natii

Bado napokea zawadi Inbox
Asanteni kwa Cakes and gifts and vochas and Perfumes for real, Mungu Awabariki Msipungukiwe

mwaka huu birthday yako zawadi yangu kwako ni kugharamia uandishi wa kitabu cha hadithi zako zote hapa jf happy birthday to you [emoji1]lol.
 
Back
Top Bottom