Happy birthday to her..Mtakie HAPPY birthday[emoji512] Kwanza maswala ya keki subiri ualikwe loh...[emoji1]
Umri sio miaka... Leo ni ile siku maalum sana ambapo mrembo bibie NAKWEDE kwa ushirikiano wa watu watatu aliletwa katika ulimwengu huu
Wa kwanza ni Mungu baba huyu alitia uhai na kuruhusu uumbwaji
Wa pili ni baba mzazi huyu aliandaa malighafi bora
Wa tatu ni mama mzazi huyu alihusika na kitunzio na kuhakikisha uumbaji wa Mungu kupitia malighafi bora za baba unatimia na kimpata binti mrembo kabisa aliyekamilika kila idara, mtu mwenye upendo wake NAKWEDE
Kwa nafasi hii adhimu napenda kusema HAPPY birthday NAKWEDE
Bila kuwasahau wote waliozaliwa siku ya leo
Tuwekee picha yake basi mchawi wetuUmri sio miaka... Leo ni ile siku maalum sana ambapo mrembo bibie NAKWEDE kwa ushirikiano wa watu watatu aliletwa katika ulimwengu huu
Wa kwanza ni Mungu baba huyu alitia uhai na kuruhusu uumbwaji
Wa pili ni baba mzazi huyu aliandaa malighafi bora
Wa tatu ni mama mzazi huyu alihusika na kitunzio na kuhakikisha uumbaji wa Mungu kupitia malighafi bora za baba unatimia na kimpata binti mrembo kabisa aliyekamilika kila idara, mtu mwenye upendo wake NAKWEDE
Kwa nafasi hii adhimu napenda kusema HAPPY birthday NAKWEDE
Bila kuwasahau wote waliozaliwa siku ya leo
Mungu akasema NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU.. Mchaga gani weye usiyejua maandikoView attachment 2219754
Happy birthday kwa mtani wangu
Mungu aendee kumremba
Afu hii ya "ushirikiano wa watu wa tatu" afu mmoja wao ni Mungu imekaaje? Kwamba Mungu ni mtu?
Hivi wapare mkoje lakini?
Ahsante Mshana na wengineo wote Mungu awabariki.
Amen
Mungu akasema NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU.. Mchaga gani weye usiyejua maandiko
Ndio ni mrembo
Mpwa una file lake huyu mrembo?Hepi bethidei wewe mdada mdhuri...ππ