Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Umri sio miaka... Leo ni ile siku maalum sana ambapo mrembo bibie NAKWEDE kwa ushirikiano wa watu watatu aliletwa katika ulimwengu huu
Wa kwanza ni Mungu baba huyu alitia uhai na kuruhusu uumbwaji
Wa pili ni baba mzazi huyu aliandaa malighafi bora
Wa tatu ni mama mzazi huyu alihusika na kitunzio na kuhakikisha uumbaji wa Mungu kupitia malighafi bora za baba unatimia na kimpata binti mrembo kabisa aliyekamilika kila idara, mtu mwenye upendo wake NAKWEDE
Kwa nafasi hii adhimu napenda kusema HAPPY birthday NAKWEDE
Bila kuwasahau wote waliozaliwa siku ya leo