Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Upo bar?Capricon Cancer inaanzia tarehe zipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo bar?Capricon Cancer inaanzia tarehe zipi
Kutembea na msuli bila nguo ndani ni mashokolo mageni walah?Enjoy your day, kama timu yako ni Yanga basi tushinde goli 2 kama tarehe yako ya kuzaliwa.
Kama ni Simba basi mfungwe 2 🤣🤣🤣
HBD MZEEHappy birthday kwako (kwangu) Msanii
Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa wachache na shubiri kwa wengi.
Ombi lako (as birthday wish) kwa uongozi wa JamiiForums kwamba ikitokea ukachomoka ulimwengu huu basi Moderator s waweke full credencials zako ili wananzengo wafahamu huyu bwege msanii alikuwa nani haswa. Nimelifikisha hapa
UNAKERA
Kero yangu kwako ni huu utamaduni wako wa kusahau sahau kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa.
Yaani leo almanusura siku ipite bila kukumbuka, mshukuru sana binti yako na mama yake waliokusanua mchana ukiwa kazini kuwa umezaliwa leo.
Nimekuhoji sababu za kutotilia maanani birtdays zako, ukanijibu kifedhuli kuwa kila kiumbe kina mwanzo na mwisho lakini habari ya kusheherekea ni kujipongeza kwa mafanikio na siyo mwanzo wa siku. Unadai kuwa misemo ya wahenga kuwa mchumia juani hulia kivulini imezingatia mzunguko wote wa maisha. Huwezi kusheherekea siku ya kupanda shamba bali unasheherekea mavuno. Dah
Nakusihi uache kuboa maana leo najua unaweza kuiputisha wima wima. Nunua keki hata ya mkono mmoja ukasheherekee na familia yako home. Punguza uzwazwa mkuu.
Enjoy soulmate
Depal Mshana Jr Demi Deborah9007 Bujibuji Simba Nyamaume Maxence Melo raraa reree Gwappo Mwakatobe Na hili mkalitizame johnthebaddest GENTAMYCINE Mpwayungu Village Nifah Ritz SAGAI GALGANO Papa Mopao mtuchake Nyani Ngabu Pascal Mayalla Extrovert figganigga hermanthegreat Robert Heriel Mtibeli
Hebu pitia Pisces Age kdg khs MasihaAmen mkuu
Yesu alikuwa Sagittarious sambamba na sisi. Halafu sasa shemejio kazaliwa Desemba 18 na ndoa ikaswii Desemba 23.
Ni wazimu mzuri sana hizi tarehe😅
Happy Birthday mkuu MsaniiShukran bebe ake. Nitamfikishia (zimefika) wishes zako
Mkuu Happy birthday, uishi miaka mingi yenye amani, furaha na fanaka!Umekula tag mkuu😅
Happy birthday to you brotherHappy birthday kwako (kwangu) Msanii