Hbd mtani wangu zawadi yangu hii hapa mungu akuzidishie miaka na miakaJana tarehe 1 Mwezi wa 6 ilikuwa siku yako ya kuzaliwa mme wangu.
Ila kwa sababu ya upendo nilionao kwa JOLIE JOLIE NA HAZARD ilibidi niwaachie nafasi ya kusherekea wapendanao hao.
Natamani niandike hata page 10 lakini maneno yote nimeashakwambia mme wangu.
Nawapa nafasi wanajamvi watiririke wanavyoweza.
UJUMBE WANGU KWAKO :
Pendo la dhati lina sifa
zifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, na
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe kupendana milele.
Malaika wa Mshana jr.
Demiss wa Mshana jr.
Chamdeko wa Mshana jr.View attachment 792513
Asanteee sana wifiiii/Dada yote yakooo majina.
Usingizi wa Demiss...mamaa chamdeko orijinali[emoji23][emoji23][emoji23]Dadaa usingizi wa nan?
Tunguli ndo zimesababisha huo upendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanitafuta ugomvi eeeh kwenye kupenda hakuna tunguli
EwaaaaaMme wakeeeee Chamdeko siku hizi ananiita Malaikaaaaaa
[emoji13][emoji13]Kwa heshma ya shemela,, happy birthday clairvoyant mshana jr.Hahahaha hebu mu wish happy birthday mme wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamaniSjasahau dada sababu nimeshaeleza tayar
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]View attachment 792533
Mi shem sijui maana ya kuwish ndo nini.Hahahahahah shemej kabla sjaja mabibo mu wish kwanza kaka akooo muoneee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]