Happy birthday Mshana jr

Happy birthday Mshana jr

Hbd mr zeddicus zul' zorander wa JF[emoji3][emoji3][emoji3]
b77b7103ff4a7a4b809e65333662fc44-d2zesq3.jpg
 
Jana tarehe 1 Mwezi wa 6 ilikuwa siku yako ya kuzaliwa mme wangu.
Ila kwa sababu ya upendo nilionao kwa JOLIE JOLIE NA HAZARD ilibidi niwaachie nafasi ya kusherekea wapendanao hao.

Natamani niandike hata page 10 lakini maneno yote nimeashakwambia mme wangu.

Nawapa nafasi wanajamvi watiririke wanavyoweza.

UJUMBE WANGU KWAKO :

Pendo la dhati lina sifa
zifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, na
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe kupendana milele.



Malaika wa Mshana jr.

Demiss wa Mshana jr.


Chamdeko wa Mshana jr.View attachment 792513
Hbd mtani wangu zawadi yangu hii hapa mungu akuzidishie miaka na miaka
FB_IMG_1527794616776.jpg
 
Sijui ya kwangu ni lini maana nimeshasahau, Mzigua em nikumbushe kidogo na mimi nijiandae.
Hahahahahah shemej kabla sjaja mabibo mu wish kwanza kaka akooo muoneee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom