Happy Birthday Mwifwa!

Jamaani. Lol.

Mbona wapo wengi mdogo wangu itakuwa hujawataka tu bwana au hatujakufaa kina sie. [emoji12]
Rafiki anayekumbuka siku yako ya kuzaliwa, is a friend to keep kwakweli

Wewe unanifaa sana na dada yangu Emmyta sijui kapotelea wapi cku hz
 
Mkuu venue ni wapi? Je ruksa kuja na kisambwada( ngai,kidenish,kishtobe,mwasi kitoko,Mwana mrito, kipapri,demu,manzi,bibi, hawara,kidumu)?
Nilitamani tufanyie Malimbe, ila hili jukumu la uandaaji wamelibeba Dada zangu Hajar na ukhuty wakishirikiana na Davet.

Ngoja tuwasubiri watatuchukua hadi ukumbini, tuwe na subira hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…