elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Asante sanaNa kwako pia rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaNa kwako pia rafiki
shughul ndo inaanza rasm karibun wana jukwaaAhsante saa mkuu.
cc Hajar, ukhuty, Davet
hhah namuona piaUtamuweza huyo, ni mjanja sana
Nipo dada, miss you too.miss u wew mtu
Waje kabisa tuserebuke na kuserereka kwa pamoja kwa siku ya leoshughul ndo inaanza rasm karibun wana jukwaa
SitakiiiiiiKeki yako ipo nakusubiri uje uichukue
SawaSitakiiiiii
Asante Bibi, huo ndio ukubwacomrade babu pole
usipotee sanaNipo dada, miss you too.
Rafiki anayekumbuka siku yako ya kuzaliwa, is a friend to keep kwakweliJamaani. Lol.
Mbona wapo wengi mdogo wangu itakuwa hujawataka tu bwana au hatujakufaa kina sie. [emoji12]
Mkuu venue ni wapi? Je ruksa kuja na kisambwada( ngai,kidenish,kishtobe,mwasi kitoko,Mwana mrito, kipapri,demu,manzi,bibi, hawara,kidumu)?Waje kabisa tuserebuke na kuserereka kwa pamoja kwa siku ya leo
Nilitamani tufanyie Malimbe, ila hili jukumu la uandaaji wamelibeba Dada zangu Hajar na ukhuty wakishirikiana na Davet.Mkuu venue ni wapi? Je ruksa kuja na kisambwada( ngai,kidenish,kishtobe,mwasi kitoko,Mwana mrito, kipapri,demu,manzi,bibi, hawara,kidumu)?
Hahahah unataka nikimbie nini mkuu?Ahsante sana mkuu.
Hii bethidei inaenda kwa muondoko wa Trajectory path[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yapyap!! Burudani ndo home ma friendAhsante sana DJ.
Uwanja ni wako kuhakikisha hii siku inakamilika vyema na vionjo vyote vya burudani
Umekuwa kimya sana ebu endelea kuchomoa huko PM ilitujipatie marafiki tusiowajuaYapyap!! Burudani ndo home ma friend
Hahahahahaaaa.Hahahah unataka nikimbie nini mkuu?
hahha tunamaliziamalizia hivyoWaje kabisa tuserebuke na kuserereka kwa pamoja kwa siku ya leo
kabis babuAsante Bibi, hui ndio ukubwa