haha uwape kadi kabisaa maaan patakuwa hapatoshi leoMaandalizi yapo mdogo wangu ni wao tu macho na masikio kuyaelekeza ndani ya huu uzi.
Muda ukifika tutawaalika wote kwa pamoja.
Hahaaa. Mwambie naja tuyapange.haya dad tunakusubiria na mdog wako anavyosumbua hapa anatak tukafanye maandaliz mapema sijui tunataka kutambulishwa wifi yetu rasmi maan simuelewi sio kwa kero hiz mwambie dad hajar aje harak hahahah
mmmh fanya harak maan sina raha hap naambiwa tu anataka atusuprise leo sijui kuna nin dada leoHahaaa. Mwambie naja tuyapange.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bebi hii birthday wish nimeipendajeee,mpaka nimepata donge[emoji39][emoji39]Happy womb escapeday chief Mwifwa.
Keep the good vibes always with you.
Teh teh teh,..nathubiri yako ww nikufumbe mdomoo[emoji13][emoji13]Hapo ashindwe tu mwenyewe kwenye umaliziaji.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
Minilizaliwa Ile miaka ambayo kijijini haoakua na utunzaji mzuri wa kumbukumbu. Kwahiyo tarehe yangu ya kuzaliwa ni -/+...... tehteehhhYa kwako lini, ili siku hiyo niwe msemaji wako?
Sitaki kupishana na gari la mshahara, miyangu ni sasahivi..... tehteehhhTeh teh teh,..nathubiri yako ww nikufumbe mdomoo[emoji13][emoji13]
Mmh,.basi subiri hii ipite kwanzaa[emoji14][emoji14]Sitaki kupishana na gari la mshahara, miyangu ni sasahivi..... tehteehhh
Kwa minajili hiyo wewe na mimi na wote tusiojua tarehe zetu za kuzaliwa tutaadhimisha tar. 1/7 kama ilivyoada. Usijali siku hiyo nitakufurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Minilizaliwa Ile miaka ambayo kijijini haoakua na utunzaji mzuri wa kumbukumbu. Kwahiyo tarehe yangu ya kuzaliwa ni -/+...... tehteehhh