Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hakunipa salamu zozote zilehujatengwa twaona umejitenga vikao nyumban hatukuoni na salam zako nilimpa mwifwa akupe labd alijisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunipa salamu zozote zilehujatengwa twaona umejitenga vikao nyumban hatukuoni na salam zako nilimpa mwifwa akupe labd alijisahau
haha hakuoni madai yake sijui mwenzetu umehamia wapi bila kutoa taarifa nyumbnHakunipa salamu zozote zile
Kazaliwa leo atiii. Ndio mje tuyajenge sasa.Huyu ndugu kumbe kazaliwa leo?
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa ndugu, Mungu akutangulie kwa kila jambo unalopanga [emoji512][emoji512]
Mbona kila siku lazima nikutane nae? Labda tu kaamua kunikunjiahaha hakuoni madai yake sijui mwenzetu umehamia wapi bila kutoa taarifa nyumbn
Kwakweli inabidi tukutaneKazaliwa leo atiii. Ndio mje tuyajenge sasa.
Amiin Insha Allah.
mmmh mbon hajatwambia kam kuna ugen
akija uniite dada
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Happy death day mwifwa..... [emoji23] [emoji14] [emoji4]
What a problem then.... [emoji4] [emoji14][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji124] [emoji124]
sawakaribu ila hajar ndo atakuja na ratiba yote ya shughul itakapokuwa mngoje aje tu
Hahahaaa..Duhhh.....!!!
Watu tusio na bahati humu Jf tunaishi maisha magumu sana, maana kila kukicha miti yote huteleza tu wallah....
Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhhHahahaaa..
Mkuu umefanya nicheke sana mana siku zote najiuliza hivi mm nimezaliwa peke yangu? ???
Kumbe pacha wangu upo asee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhh