Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Duhhh.....!!!
Watu tusio na bahati humu Jf tunaishi maisha magumu sana, maana kila kukicha miti yote huteleza tu wallah....
Hahahaaa..
Mkuu umefanya nicheke sana mana siku zote najiuliza hivi mm nimezaliwa peke yangu? ???
Kumbe pacha wangu upo asee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee tuna nuksi utadhani tumezaliwa njia panda.
Yani zile nazi wanazo vunja utadhani zimepasukia kwenye miili yetu. Lol.
 
Back
Top Bottom