Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday mdogo wangu Mwifwa Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na pia azidi kukupa kila la kheri katika kila jambo utendalo. Insha Allah.

Uzidi kuwa ndugu bora ndani ya familia yetu bora mdogo wangu.

CC. Davet na ukhuty.
Huyu ndugu kumbe kazaliwa leo?

Kheri ya siku yako ya kuzaliwa ndugu, Mungu akutangulie kwa kila jambo unalopanga [emoji512][emoji512]
 
Aiseee hapa nimetengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…