Happy Birthday Mwifwa!

Sijambo swahiba
Kichwa Kichafu alinitelekeza pasaka sijamwona ila itakuwa kajiteka kwa jje's

Besidei boi akija mwambie bado yuko kwenye rada yangu[emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Rafiki, nimeamini kumbe wewe ni fungu la kukosa kama mimi tu....huyu 'basidei boi' ana my wake hapa. Hiyo rada yako bora uizime tu[emoji12]
 
Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhh
Naomba mniambie besidei zenu ili siku ikifika niwatoe kimasomaso [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee tuna nuksi utadhani tumezaliwa njia panda.
Yani zile nazi wanazo vunja utadhani zimepasukia kwenye miili yetu. Lol.
 
Jamani nimewaham sana rafiki zangu! [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Muwapendao hawajambo?
sitaki kuwa wa mwisho kabisaaaa
Happy born day mkuu Mwifwa. Mungu akupe miaka mingi ya amani na furaha.
cheers
 
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha bebe usijali yako ni special zaidi, hiyo ni ya kiugumu ugumu tu.
Hiyo siku ya besidei ikifika naomba mnialike nije kupoza wivu wangu kwa keki [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmhh,naona kuchelewa kufika sijui nitapewa ya kiitaliano au ya wapi huko mbalimbali..mwe[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Niamini tu maana naona kabisa mbuzi kafia kwa Muuza supu.... tehteehhh, kule nipo kwa Ile I'd nyingine ambayo haijulikani....
Ninong'oneze hiyo ID yako nyingine ili nije PM kukuseduce[emoji12] [emoji85] [emoji85]
 
Jamani nimewaham sana rafiki zangu! [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Muwapendao hawajambo?
Haswaaa, kwangu nimpendae ndo kwanza anazidi kufurahia maana na hii baridi mambo yanaenda vizuri kabisaaa.
Nimekuhamu pia. ile mida yetu nimejiuzulu kwa muda maana naona duuuh majukumu yanazidi
 
Haswaaa, kwangu nimpendae ndo kwanza anazidi kufurahia maana na hii baridi mambo yanaenda vizuri kabisaaa.
Nimekuhamu pia. ila mida nimejiuzulu kwa muda maana naona duuuh majukumu yanazidi
Wacha weee hongereni mwaya. Naomba muongeze juhudi ili mwakani majira kama haya tusherehekee besidei ya katoto kenu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Wacha weee hongereni mwaya. Naomba muongeze juhudi ili mwakani majira kama haya tusherehekee besidei ya katoto kenu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
tunakula raha kwanza bhana, katoto baadae sana

teh teh 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…