Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Mwifwa kumbe ulizaliwa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuendelee kusubir japo ni ngumu kuliko ngamia kupita kwa tundu la sindano[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha kweli asee, atuwekee picha ya Mwifwa ndani ya baby diaper [emoji23][emoji28][emoji23]
Hiki kimalkia ulichoandoka hapa ntakushtaki kwenye mahakama ya wahalifu wa kivita... maana umenifanya nimejing'ata ulimi.Happy womb escapeday chief Mwifwa.
Keep the good vibes always with you.
Kwani na wewe ni mwifwaWeka picha yako mkuu, ili tuongeze radha ya uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnataka picha yake ya utoto au sasa?hahaha kweli asee, atuwekee picha ya Mwifwa ndani ya baby diaper [emoji23][emoji28][emoji23]
Ngoja tuendelee kusubir japo ni ngumu kuliko ngamia kupita kwa tundu la sindano[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] pole babu,
Mnaandika kimeme utadhani mmemeza dikshenare bhana... dahhahaha [emoji23][emoji28][emoji23] pole babu,
bibi Sky Eclat atakuja kukupa dawa upone, ila useme ss wajukuu tukupe uzoefu uzoee usijing'ate tena
pole sana
Tunataka ya leo mkuu..ili uzi uchangamkeMnataka picha yake ya utoto au sasa?
hahahaMnaandika kimeme utadhani mmemeza dikshenare bhana... dah
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amin [emoji120][emoji4]