Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajambo, sitaki kumsemea sana maana siku hizi anarudi home mie nishalalaEeeh! Haya bwana kuleni raha za dunia. Maisha yenyewe haya ni mafupi.
Kaka yako Nleterewa Nganengo hajambo?
[emoji7]muda wowote karibu[emoji6]Huh! Huh! Asante kwa heshima hiyo
Jamani mumu hata kunigongea mlango umekausha tu.Mwifwaaaaaaaa
Shukurani sana homeboyHappy Birthday to you Homeboy!!
HahahahaaaaHappy birthday Mwifaa endelea kutumia ndom ili tuendelee kukuwish
Mi nimehisi tuHahaaa. Itakuwa hivyo kwa kweli.
Ila mialiko inatoka kwa codes sjaelewaShukurani sana homeboy
Ahsante sana swankHappy birthday to him!
Ahsante sana MakiseoHappy Birthday Mwifwa.
Ushakua Mara hii,..?Jamani mumu hata kunigongea mlango umekausha tu.
Nimefika sasa hivi
Hahahahahaaaa.Hbd brother M kubwa la mapopo jf I think ulizaliwa night
Ukipata jibu nisukumizie kakaratasi huku chini ya dawatiHivi happy birthday kwa kispanyola natakiwa nisemeje?[emoji12]