Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Happy birthday ila usitoroke bwenini na kwenda kulala gesti kisa penzi la (jamaa ana jina ndefu hata kwenye mention ni error)
​haaaa!!alal halafu nani anibadilishe nepi?Hebu tulale unaamka usikuusiku jf
we mi nitalalaje wakati kuna mtoto mchanga humu ndani
Shikamoo mama..
bado nipo huku kilimanjaro.
kupitia happy birthday ya Passion Lady
nasema asante kiwatengu son,
tafadhali fanya urudi mkeo analalamika sana
sema kama nauli hauna tutakutumia
Dada yako hakawii kukujibu happy birthday too kama alivyokuwa akifanya wakati akiwa mdogo...
Passion Lady daddy akutakia kumbukumbu njema ya siku yako ya kuzaliwa...
Mumy na Dady twakupenda eenh!!!
Hahahaaaa..... dadie.. chekaje mie... BTW hows u today!!!
kupitia happy birthday ya Passion Lady
nasema asante kiwatengu son,
tafadhali fanya urudi mkeo analalamika sana
sema kama nauli hauna tutakutumia
l
Sawa na wiki ijao nitafika pale mahali..
passion lady happy birthday mdada
ruttashobolwa naona mmeamua kuja wawili wawili na lady doctor
all in all nawatakia kila la kheri,
mkikuja hapa baharini mniambie nipo nimeweka kambi hapa naendelea
kufurahia ile bd yangu.
My akanana Passion Lady happy birthday.
Mungu akuongezee miaka mia moja ya kuishi yenye baraka na furaha tele.
Nimekuandalia zawadi ya ndizi na kahawa.
happy birthday, happy birthday, happy birthday.