Happy birthday my akanana passion lady


Kweli mapenzi yana run dunia.... we njegelele pamoja na kuacha shule ukiwa darasa la nne B umeshusha kikiristo hivyo kisa mchuchu....
 

pacha kwa huyu
wala sikushauri
anao wengi balaa!!

pacha kuwa wengi haijalishi si unanijua nduguyo sijui kumpenda mtu ila najua kupenda pesa? Chimbuvu sasahivi kafulia na nimepata nyepesinyepesi kuwa Arushaone kauza yale mawe yake ya tanzanite kalibia ana billion hapo alipo ngoja nikamsaidie kutumia,
nipe support pacha wangu, utafaidi ujue, mtaacha kutembelea mayeboyebo wewe na shemeji yangu Ruttashobolwa safari hii mtatembea uku mmekaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

kumbe duuuh
basi inabidi nimkubali kiuongooo
ili tumkwangue thn tupa kuleee akifulia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…