Happy birthday my akanana passion lady

Haaa sa mbona imekatika jamani mi nimeandika tamko, au nlikosea nikaandika tak. nini!!!!!!!
Na ushukuru Mungu imekatika, yaani ingetoka kama ilivyo sijui ambavyo pangechimbika, hadi uje unieleweshe kuwa hukumaanisha vile ingekuwa tayari Muhimbili kumejaa majeruhi
 

Hii ndo naiona leo Passion Lady hongera kwa kuzaliwa halafu acha kuingilia ingilia ndoa za watu utasutwa mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…