Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday #shansarie

Nimewamiss mnoo

Pokea ujumbe huu kutoka kwa Chocs & Erickb52
Uwe na maisha yenye kheri na afya telee
 

Attachments

  • unnamed (1).jpg
    unnamed (1).jpg
    27.7 KB · Views: 135
Last edited by a moderator:
Happy birthday shansarie mwenzaaa ahhhhaha hivi ww kiwatengu hujui cha peke yako n kaburi tu vingine tunashare???? Asprin najua sana ana vimada tele ana michepuko kibao atarandaaaaaa weee lakin jion.ntalala nae halafu hiko kifanyio unachotaka kukilock kwa sababu gani???? We mwambie mkeo akae sawa akazubaaa nampindua.
 
Last edited by a moderator:
Na ole wako unitoroke...umezoea kwenda kwenye sherehe na michepuko leo sikubali...ngoja niende saluni

Hahahaha leo ndio nimeujua ukweli huwa tunaambiwa unaumwa kumbe wanakuachaga?Pole wee my wii Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom