kiwatengu asante sana kwa kuniita kwenye uzi huu na hongera sana kwa shansarie kwa siku hii njema sana kwake
Happy Birthday shansarie na Mungu akupe maisha marefu na yenya furaha
Happy birthday shansarie mwenzaaa ahhhhaha hivi ww kiwatengu hujui cha peke yako n kaburi tu vingine tunashare???? Asprin najua sana ana vimada tele ana michepuko kibao atarandaaaaaa weee lakin jion.ntalala nae halafu hiko kifanyio unachotaka kukilock kwa sababu gani???? We mwambie mkeo akae sawa akazubaaa nampindua.
Wow wow wooow...happybirthday bibie shansarie. Amani na mafanikio visipungue kwako. kiwatengu mimi na mume wangu Eiyer tunawaombea furaha yenu izidi kuongezeka siku hadi siku