akiona vyaelea jua vina wenyweeeeeh. makubwaa
bora aujue kabisa mm mkeo full mwanajeshi chepuko kantwe anapiga kama migambo ya citynjoo nikutulize utulie mtoto mzuri uliyetakata
kwangu utaondokana na mivurugano
unapendwa
wewe ndo chanzo
Kwahiyo wewe ndo mumewe?
ivi wewe mwanaume wataka nini yatakuwa mkubwa kweli
akiona vyaelea jua vina wenywe
bora aujue kabisa mm mkeo full mwanajeshi chepuko kantwe anapiga kama migambo ya city
aiseee unampenda na huyu tena
ivi wewe mwanaume wataka nini yatakuwa mkubwa kweli
akiona vyaelea jua vina wenywe
bora aujue kabisa mm mkeo full mwanajeshi chepuko kantwe anapiga kama migambo ya city
aiseee unampenda na huyu tena
unapendwa
cha peke yako kaburi ndugu yangu vilivyobaki tunashare
ha ha ha ha haya bibie mtoto akililia wembe mpe
haha kwann kaka leo unanigeuka
haha kwann kaka leo unanigeuka
Yani kaka yetu sometimes sijui anakuaje tu.Mi nahisi ana ugonjwa wa kusahau inabidi tumfanyie ibada miss neddy
Sikugeuki nataka Shemeji Aje nimpige mzinga..!