Happy birthday my handsome G

Happy birthday my handsome G

Unapenda namvyosifi ee namsifia vitu vyenye uhalisia,sio mjivuni,anapenda kuwa chini muda wote,,mambo mengi tu,,
Nilitetemeka kwa raha nikasikia raha mwili mzima halaf akaninyonya huku kanikamata kiuno kwa nguvu na mikono yake yenye nguvu ile acha tu
Kingine sijachubuka hata kidogo licha ya kufanya kila saa kuna wanaume hii dunia wanajua bana nakojoa kama bata mwenzio
Naona ulivyoandika kwa hisia wala sio acting ni kweli upo unadendeka shosti

Hukuchubuka sababu umempenda hata akusugue muda wooote huwezi kuhisi mchubuko zaidi tu mwili utachoka lkn nyege ziko palepale

We mbatize tu maisha ndo haya haya kula raha mama msalimie shem

Tofauti yangu na wewe ni kwamba mi situmii hensam wala six pack na napenda wahengaaaaa
 
Kweli kabisa usemayo mwanaume ukimpenda huwezi umia wala chubuka,,anajua nisemayo nipo sawa kabisa na game ni la uhakika ee tunapiga kihuni,kistaarabu aaa basi mambo Mororoo
Hahaha si unajua yale mabody yangu ee basi kajaa jaa vizuri kweli ninavyotaka ndivyo alivyo ,ni mhenga wa kisasa G wangu yuko vizurii sana maisha yenyewe mafupi haya acha tupeane raha tupeane raha
 
Naona ulivyoandika kwa hisia wala sio acting ni kweli upo unadendeka shosti

Hukuchubuka sababu umempenda hata akusugue muda wooote huwezi kuhisi mchubuko zaidi tu mwili utachoka lkn nyege ziko palepale

We mbatize tu maisha ndo haya haya kula raha mama msalimie shem

Tofauti yangu na wewe ni kwamba mi situmii hensam wala six pack na napenda wahengaaaaa
tapatalk_1520282604339.jpeg
 
Nnavyosema handsome namaanisha kweli anatazamika haswa na yale mabody nayopenda sasa hehehehe safari hii nimekamatika.
Leo ni siku kubwa kwangu mimi na G pia ni siku yake ya kuzaliwa nasikia wale watu wote wenye akili duniani wamezaliwa mwezi huu[emoji8][emoji8] ndio hivyo yaaan,nachukua fursa hii adimu kumtakia kheri na baraka tele kwenye siku yake hii kubwa ya kuzaliwa .
Ni siku kubwa kwangu kwa maana ya nipo nae pamoja toka jana nilivyompokea asubuhi na ni mara yake ya kwanza kufika Mwanza ni kitu kikubwa mno kunipa nafasi na kunipa kipaumbele na kunipa muda wake ,sijui hata nimpe nini huyu mwanaume hizi siku najiona kama malaika kila napotembea nae njiani nashikwa mkono,nakisiwa ,nakumbatiwa nitake nini nisipewe upendo mkubwa uliopo kati yetu ,Mungu akiamua kukupa anakupa tu yaan huyu mwanaume ndie nilikuwa nikimtaka ,kuandika kwangu kule chit chat kumenipatia bonge la bwana , ule uzi wa Hamorapa naushukuru sana [emoji8][emoji8][emoji8] mwanaume ana roho nzuri kwa watu wote,ana huruma sana,ana upendo mwingii mpaka namuangalia simmalizi ,ana hofu ya Mungu ,kitandani ndio usiseme hapa siri yangu mpaka naona wivu ila nahisi nimejitahidi sijawaangusha kwenye hilo[emoji23][emoji23][emoji23] japo nazidiwa sometime lakin tuko vizuri
My love G ,baba angu,roho yangu nakupenda sana sana najua unajua toka tumefahamiana na tumekutana mpaka muda huu navyoandika upo karibu na mimi,upendo wako nimeupokea na ntaurudisha mara 1000 ,nikutakie heri na baraka tele kwenye siku yako ya kuzaliwa
Tuzidi kupendana mengine yatafuata inshaalllah

Narusha picha zinagoma leo natamani ningewaonesha zawadi nilizoletewa,halaf badala ya kula keki anakula samaki tu leo , jioni tunaenda Cinema kuangalia Black panther ,tukitoka hapo nampeleka Villa park akale samaki leo ni samaki tu hakuna keki
Mambo ni hiviiiiii ni balaaa
Happy birthday my love
Hiv hua unaishi hapa jijini Mwanza? Mweh!
 
Mama Sabrina naomba nimsalimie G kwa pm yako! teh kwa niaba ya wanawake wa mikoani(jokes)!kweli kuna watu wanajua kupenda jaman!yaan had amekufuata!had raha !na hyo mizawadi sasa awwwwww!
hepi besidei tu u shem G!

wapi NAHUJA pita villa park jion umsalimie shem wetu!
pia nasubiria picha ya boda pm🙁🙁🙁🙁
Weee, lekaga uwudesi!Hahahahahaaa
 
Mi nataka mada km hizo za kutudolishia mnavyopendana yaani hizo zingine zipumzishe kidogo hebu shusha mambo ya mbebisho wa shem wetu

Halafu umeniita km shemeji yako MY KAPEACE

adolay

My kapeace
 
Back
Top Bottom