Happy birthday my lovie!

Ha ha! ikifika muda wa kumuweka hadharani nitafanya hivyo kwasasa acha nitulize maini ila jua anakutazama..๐Ÿ˜ƒ
Heheee basi salamu nyingi zimfikie kama ananisoma hapa
 
Hujakoma tu, umeamua kupenda tena, usije kulia lia humu , utadundwa๐Ÿ˜‚. Happy birthday to her ๐Ÿพ๐ŸŽ‚
Ha ha! Financial services Dua la kuku halimpati mwewe!.
Cha kufanya kaa kwa kutulia uone malegendary tunavyotulizanaga kwenye mahaba.. nyie mliopigwa na vitu vizito moyoni mjifunze tu..๐Ÿ˜‚
 
Happy birthday bebe ya kenzy
Ila ukiachwa usilie lie ufe kiume
Ahsante kwa kumtakia heri ila swala la kulia au kutokulia ni mtambuka na inategemea umeachajwe!,ukiachwa Kama umeme wa tanesco unavyokatikaga swala la kulia ni muhimu..๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ