Happy birthday my lovie!

Ila mkuu si ni ww ulikuwa walia lia tu juzi huku kuwa yamekukuta.... Hicho kiherehere cha kupenda haraka ivyo na kumuwish Baby wako HBD kwa kufungua uzi kbsa umeukitoa wapi? Tupunguze SHOBO na mapenzi etii hahaha


Au Fanya ivii nipe namba zake Nimuwishi na kumtumia zawadi yake kweny Tigo Pesa
 
Elewa tu mimi sio chaputa hivyo lazima niwe na mpenzi hayo mengine ya kulialia ni viungo tu ktk chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…