Amina na ahsante Sana'a wiiiiiiHappy birthday Wii darling,Mungu akujaze kheri mama.
Love youuuuuu [emoji8] [emoji323] [emoji512]
Nn tena jamani
Wewe si umekataa kurudi? [emoji24] [emoji24] [emoji24]thank u shemelaaa, u know i miss u
Enjoy it darling. I wish ningekuwa Arusha tuende sehemu tukale mbuzi mpaka!Amina na ahsante Sana'a wiiiiii
Love u moreee
narudi mamito nimekumiss sana, nataka nije nimccm bold kama yale ya znz hadi tunasherekea sikukuu yakeWewe si umekataa kurudi? [emoji24] [emoji24] [emoji24]
thank u so much brother we appreciateHappy birthday to her though simfaham
Yaani wii acha tu kwa Mromboo pangetuhusuEnjoy it darling. I wish ningekuwa Arusha tuende sehemu tukale mbuzi mpaka!
Ahsanteeee japo hunifahamHappy birthday to her though simfaham
TanxHappy Birthday
PoleNimekatazwa
Pole
Amina hny na ahsante piaHongera sana my dear. M'mungu akupe maisha marefu zaidi.
Penda sana wewe [emoji8] [emoji8]
Saaaaana Wii, Kama vipi tupaweke kiporo tutakuja kufanya mambo one dayyyyy.Yaani wii acha tu kwa Mromboo pangetuhusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jipange mkuu.narudi mamito nimekumiss sana, nataka nije nimccm bold kama yale ya znz hadi tunasherekea sikukuu yake
Ole wako unidanganye wiiii ntanuna mwaka mzimaSaaaaana Wii, Kama vipi tupaweke kiporo tutakuja kufanya mambo one dayyyyy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naanzaje kukudanganya mpenzi? Sema sasa hivi nitachukua muda sana hadi nije huko tena.Ole wako unidanganye wiiii ntanuna mwaka mzima