Happy birthday my the one and only sweetheart @clkey

Happy bday sista'ngu...

Ishi maisha marefu!! Nicheki WhatsApp nina zawadi yako...

Alafu kumbe huyu jamaa ndio amekukimbiza kutoka Nyumbani [emoji35]
 
Jamani Fanya hata mwaka huu basi mwakani mbali mai wiii
 
Happy bday sista'ngu...

Ishi maisha marefu!! Nicheki WhatsApp nina zawadi yako...

Alafu kumbe huyu jamaa ndio amekukimbiza kutoka Nyumbani [emoji35]
Tanx mai kaka
Hapana hajanikimbiza bwana we ongea nae vzr tuuuu atakwambia
Halaf nmecheki kile zawadi yangu sijaiona
 
Happy bday sista'ngu...

Ishi maisha marefu!! Nicheki WhatsApp nina zawadi yako...

Alafu kumbe huyu jamaa ndio amekukimbiza kutoka Nyumbani [emoji35]
heheheehehehehe mwenye dada hakosi shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…