Happy birthday my the one and only sweetheart @clkey

Happy birthday my the one and only sweetheart @clkey

Ole wako unidanganye wiiii ntanuna mwaka mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naanzaje kukudanganya mpenzi? Sema sasa hivi nitachukua muda sana hadi nije huko tena.
Inaweza kuwa mwaka huu mwishoni au mwakani kabisa... All in all, that's a promise.
Nikija nitakucheki tukakichafue kwa Mromboo hahahaaaa
 
Back
Top Bottom