nimekuandalia zawadi ya nyumba mke wangu Mzigua90Hahahahaaa.. thanks dear. Niko msibani ningeijia
Njoo tuu mpaka getini shemeji,.mumu njoo uchukue zawadi ya wifi yako niko hapa karibu na kwenu
We jishaue tyuuu..mxieww...unajiamini kwakuwa ww ni mod nikiweka tuu nakula ban[emoji23][emoji23][emoji23]shenzy taip kabisaaa ningeweka mm
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,, hata mi hakunaga kama wewe,, ila umeweka mgongo avatar yako, geuka basiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kaka angu nakupenda sana yaani kama haulijui lijue hilo nikiona avatar yako tu najisikia kutabasamu
Sio kujiuza rafikiAiseee duuh mkuu mm sijiuzi
Seven...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kujiuza matumizi ya kutumia si unamaliza $ 500? Kwenye bata zenuAiseee duuh mkuu mm sijiuzi
Haha naongeaga hadharani chumbani kwa mtu siendagi labda nialikweHakuna bwana
Sakayo huyo aliyepata amshikilie hivyohvyoJamani mmenikimbizia sakayo wangu hataki kabisa kupasikia huku
Sasahiv tutasikia fourteen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]