Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kutumia Rafiki ktk bata ,mupe murukeSasa hayo mambo ya day ndio nini tena
Happy New age Mzigua90, May all your good wishes come true dear. Enjoy your day
[emoji4] [emoji4] [emoji23] acha kufuru dada,, hekaheka, miluzi itakuwa mingiNikigeuka kaka angu watu watakimbizana kwa hii sura ya baba angu
siwezi kusahau kila kitu kipo sawa, nataka nitume hyo hela mda huu kwenye western unionSawa usisahauna hela ya Champagne. Don Periogn
mumu peke yake ndio kanikaribisha leoEeenh ushaalikwa na wangapi mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zako
Hahaha we si umeona hapo birthday girl kasema ndogo hata keki hazitoshi ,uoga vipi tenaHiyo nyingi sana inatosha acha woga we mwanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] si anamilikiwa tayari au unataka tuwe wawili?Woooooozeeeeer huyo ndugu yangu ukiwa shemeji itapendeza zaidi
Weee mm niwe na undugu na seven mimiii...Woooooozeeeeer huyo ndugu yangu ukiwa shemeji itapendeza zaidi
Mimi,Mimi sio mchoyo kabithaaa[emoji16][emoji23]mumu peke yake ndio kanikaribisha leo
Wewe ndio unamsemea?Hakuna mmiliki